Natafuta baiskeli y...
 
Notifications
Clear all

Urgently Wanted TZ Natafuta baiskeli ya Mtumba ya mtoto

Grace Ngalawa
(@grace-ngalawa)
1k Pay Cash
Joined: 2 years ago
Posts: 17
Topic starter   [#169]

Mwenye baisikeli ya mtumba ya mtoto miaka 5 hadi 6  kutoka Japan au ulaya sio mtumba bongo naomba naomba bei yake.



   
ReplyQuote
 Zuru
(@zuru)
1k Pay Cash
Joined: 2 years ago
Posts: 5
 

Habari bosi wangu!

 

Baiskeli zipo bei yake ni 160,000 bila usafiri.



   
ReplyQuote
Grace Ngalawa
(@grace-ngalawa)
1k Pay Cash
Joined: 2 years ago
Posts: 17
Topic starter  

Mmh 160k mbona parefu sana nataka za mtoto sio mtu mzima.

 

Nitumie bei na picha 



   
ReplyQuote
 Zuru
(@zuru)
1k Pay Cash
Joined: 2 years ago
Posts: 5
 
782BA807 67F9 4F81 84EE C935E752C5E2
B57AAC1E D039 4F03 85EC 9F69D9493B88
A3770B10 082F 4488 8C17 85E9A93FD0CC
B3F42350 3690 4197 846F 4799CFEE4AF1
8A96E635 9DA2 42B4 88EA 016DEB652BEE


   
ReplyQuote
 Zuru
(@zuru)
1k Pay Cash
Joined: 2 years ago
Posts: 5
 

Bei ndi hiyo bosi fanya chap kwa haraka tufanye biashara.



   
ReplyQuote

zoom

Grace Ngalawa
(@grace-ngalawa)
1k Pay Cash
Joined: 2 years ago
Posts: 17
Topic starter  

Yakwanza chukua 100k



   
ReplyQuote
Grace Ngalawa
(@grace-ngalawa)
1k Pay Cash
Joined: 2 years ago
Posts: 17
Topic starter  

Kimya tajiri!



   
ReplyQuote
 Zuru
(@zuru)
1k Pay Cash
Joined: 2 years ago
Posts: 5
 

Asante boss njoo hapa kkoo kunawatu wengi tunauza baiskeli labda unaweza kupa.



   
ReplyQuote
Husan Jusa
(@husan-jusa)
1k Pay Cash
Joined: 2 years ago
Posts: 5
 

Bei ya kuuza ngapi boss wangu?



   
ReplyQuote
Jonson John
(@jonson-john)
100M Trade Bond
Joined: 2 years ago
Posts: 280
 

Vipi kama bado niambie naiwaunganishe na mtu mwingine mwenye baiskeli za watoto.


Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿


   
ReplyQuote

like

(@Anonymous 1)
Joined: 2 years ago
Posts: 135
 
20230101 103107

Hii lipia elfu 50,000



   
ReplyQuote
(@Anonymous 1)
Joined: 2 years ago
Posts: 135
 
20230105 120920


   
ReplyQuote
(@Anonymous 1)
Joined: 2 years ago
Posts: 135
 
20230105 120920
20230101 103107
20230119 202818

Baikeli mbili pamoja na Mwavuli wa mtoto 100,000



   
ReplyQuote
Malingumu
(@malingumu)
50K Pay Cash
Joined: 2 years ago
Posts: 22
 

@admin Tayari nimeisha lipi boss.



   
ReplyQuote
(@Anonymous 1)
Joined: 2 years ago
Posts: 135
 

@malingumu 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣



   
ReplyQuote

(@Anonymous 1)
Joined: 2 years ago
Posts: 135
 
20221224 075947


   
ReplyQuote
(@Anonymous 1)
Joined: 2 years ago
Posts: 135
 

Lipia 500k 



   
ReplyQuote
Director Rahimu Producer
(@director-rahimu-producer)
50K Pay Cash
Joined: 2 years ago
Posts: 4
 

Posted by: @Anonymous

Lipia 50k 

Tayari nemelipia.

 



   
ReplyQuote
(@joantha)
Honorable Member
Joined: 2 years ago
Posts: 2
 

Naomba moja.



   
ReplyQuote