.
Kwenye Container zinaingia baskeli pcs 800 tu.Hivyo kila mtu atuambia anataka pcs ngapi za baikeli ni mpakili. Kuna Grade ya kwanza
Grade ya pili
Grade ya mwisho Tunachukua Order kuanzia pcs 50 na kwendelea, Utaratibu wa minada yetu uko hivi kuna gharama za manunu zinajitegea
Kuna Gharama za usafiri
Kuna Ghama za ushuru
Kuna Gharama delivery kama uko nje ya Dar Es Salaam. Kabla ya kununua mzigo hakikisha unapata rate ya usafirisha ushuru na delivery ya mzigo wako kutoka Japan kwenda Dar Es Salaam.
Tuna Baiskeli aina tatu Tuna Mayai
Tuna Fimbo
Tuna Mountain
tuna za Watoto Utakapo niuluza bei nitakupa bei ya manunu zitu yaani free on bod ikijitegemea tusichanganye.Garama ya usafiri kila baikeli mpja ni.
Grade A Mountain ¥10,000
Mayai ¥8,000.
Fimbo ¥7,000
Watoto ¥7,000 Grade B Mountain ¥9,000
Mayai ¥7,000.
Fimbo ¥6,000
Watoto ¥6,000 Grade C Mountain ¥8,000
Mayai ¥6,000.
Fimbo ¥5,000
Watoto ¥5,000 Usafiri Mountain ¥2,000
Mayai ¥1,000.
Fimbo ¥1,000
Watoto ¥700
Super Globals
Options and Features