Notifications
Clear all

USED BATTERIES KUTOKA JAPAN ZINATAFUTWA

(@joyce-chaula)
2.M Trade Bond
Joined: 3 years ago
Posts: 5
Topic starter   [#290]

Habari natafuta battere za mtumba pcs 100 

 

kuanza size

1.N 45.

2.N50

3.N 70

 

naomba kujua bei kwa Gharama zote hadi kunifikia itakuwa bei gani! 



   
ReplyQuote
(@Anonymous 1)
Joined: 3 years ago
Posts: 135
 

Kuunganishwa na huduma hii inabidi ulipie kifurushi cha elfu 30 kwa mwaka.



   
ReplyQuote
(@joyce-chaula)
2.M Trade Bond
Joined: 3 years ago
Posts: 5
Topic starter  

Kivipi nielimishe hii 30 ya nini?



   
ReplyQuote

(@Anonymous 1)
Joined: 3 years ago
Posts: 135
 

Kupata bei ya bidhaa zenye dhamani ya kuanzia  1,000 hadi 300,000 nilazima udiposit elfu 30 kwenye account.



   
ReplyQuote
(@joyce-chaula)
2.M Trade Bond
Joined: 3 years ago
Posts: 5
Topic starter  

Ok sawa nalipaje?



   
ReplyQuote
(@Anonymous 1)
Joined: 3 years ago
Posts: 135
 

Jinsi ya kulipia 

Tigo Lipa namba 6866794 Digxam Trades.

1.Jina la bank CRDB 

2.Acount Namba :AC  015C598771300. 

3.Jina la Account Digxam Trades.



   
ReplyQuote

(@joyce-chaula)
2.M Trade Bond
Joined: 3 years ago
Posts: 5
Topic starter  
9F9235DF 8DE1 496E A921 2049E17C23E7

Mbona inakuja Elfu 31?



   
ReplyQuote
(@ebeneza)
2.M Trade Bond
Joined: 3 years ago
Posts: 2
 

Hii kwajili ya nini?



   
ReplyQuote
Shalom
(@shalom)
2.M Trade Bond
Joined: 3 years ago
Posts: 29
 

@ebeneza Soma comment acha kupasua watu!



   
ReplyQuote

(@madenge)
2.M Trade Bond
Joined: 3 years ago
Posts: 1
 

Posted by: @joyce-chaula
↑

-- attachment is not available --

Mbona inakuja Elfu 31?

Hii nimeipenda sana I see ngoja nijipange

 



   
ReplyQuote
Jonson John
(@jonson-john)
2.M Trade Bond
Joined: 3 years ago
Posts: 330
 
battry

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿


   
ReplyQuote
Jonson John
(@jonson-john)
2.M Trade Bond
Joined: 3 years ago
Posts: 330
 
pana
pana2
pana3
pana2

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿


   
ReplyQuote

Jonson John
(@jonson-john)
2.M Trade Bond
Joined: 3 years ago
Posts: 330
 

Posted by: @joyce-chaula
↑

Habari natafuta battere za mtumba pcs 100 

 

kuanza size

1.N 45.

2.N50

3.N 70

 

naomba kujua bei kwa Gharama zote hadi kunifikia itakuwa bei gani! 

Utapa kwa bei zifitazo

1.N 45.  50,000@1

2.N50  90,000@1

3.N 70 100,000@1 

 

 

 

 


Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿


   
ReplyQuote
(@joyce-chaula)
2.M Trade Bond
Joined: 3 years ago
Posts: 5
Topic starter  

Inachukua muda gani kufika hapa.



   
ReplyQuote
Jonson John
(@jonson-john)
2.M Trade Bond
Joined: 3 years ago
Posts: 330
 

Inategea tunatumia usafiri wa Container inategeme muda wa mzigo kujaa kama litajaa mapema hesabu mwezi moja na week moja baada ya mzigo kuondoka hapa.


Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿


   
ReplyQuote

(@konrad-pawlak)
Honorable Member
Joined: 3 years ago
Posts: 1
 

Loud cries isn't always appropriate



   
ReplyQuote
Kitengo cha Usafirishaji
(@kitengo-cha-usafirishaji)
2.M Trade Bond
Joined: 3 years ago
Posts: 8
 

Mzigo wako umepakiwa tayari.



   
ReplyQuote