Baada ya Magari kupanda bei ukilinganisha na miaka mitano iliyopita kumilika gari ni kitendawili.Wadau ni njiagani naweza kuitumia kupata Gari la bei rahisi?
Hii ni njia ngumu kwama sio mwajiriwa.
Labda tuamzishe mchezo wa points
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿