Mwenye Gari lolote ayetaka kuuza haraka nanunua.
Hataka kama bovu unanunua boss?
Unanunua kwabei mbovu au mzuri tukuletee Magari.
@kabanza Unataka kujua bei mzuri na mbovu ili mniletee wewe na nani?
Nauza Toyota Hilux bodo iko vizuri.
Gali unanunua kuanzia bei gani?