Kupita kwenye hii post tunataka kuondoa utata, Simba Vs Yanga, timu gani yenye washabi wengi ndani na nje ya nchi?
Naomba kila mtu a Like,share kwenye mitanda ya kijamii , comment tupe maoni yako,
Na Wananchi tuna comment wapi?
@naancy Umeitwa?
Ujuane na nani ili iweje?
@ally-kanagawa Kojoa ulale ukue.
Simba nguvu moja tunakiwa kama mbele.