Takwimu zinaonyesha watu wengi umiliki Gari aina ya Toyota IST kama ni moja wapo niambia unahitaji spare gani nikutafutiae.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
@jonson-john Nahitaji Engine na Geobox yake vipi huko bei gani?
Engine gani unahitaji kuna aina mbili za Engine kwenye IST kuna kubwa na ndogo wewe yako ni hipi?
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
@jonson-john Sijui ngoja nitamuliza mtu nitakuambia.
Kuna kibati hapo mbele kipige picha nitumie hapa.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Kama unahitaji pia Sapre za Toyota IST za New Model niambia hapo kwenye comments section.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Nitajie Spare gani unahitaji.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
@jonson-john New au old pia
Wewe unaonaje?
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
@jonson-john Nashida na Taa za mbele