Habari! Mkuu
Ninaitwa Neema , nipo mkoani Kagera. Nahitaji kuanza biashara ya kuuza Flash Disks na Memory Cards, hivyo ningependa kupata Price List ya jumla kwa bidhaa kama:
Memory Cards:
1.Pia, naomba kufahamu:
Kiwango cha chini cha kununua (Minimum Order) ili nipate bei ya jumla ni PC ngapi?
Je, bidhaa zenu ni Full Capacity?
2.Unapokea pesa kwa Dig pay?
3.Mnatuma mzigo mikoani kupitia mabasi ya Kariakoo?
Nitashukuru sana nikipata majibu yenu ili niweze kuweka oda yangu ya kwanza. Ahsante!