Habari.natafuta Engine ya 2NZ pamoja na Geabox yake na sasipetins zake zote zambele.kutoka Japan
@kandida Kalipie 2ml nikupakilie kwenye Contained, mzigo unaondoka hapa tarehe 17.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Hakuna maongezi lipia tukupakilie.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿