Natafuta bump la Fo...
 
Notifications
Clear all

Urgently Wanted SA Natafuta bump la Fortuner na Taa zake

Mzawa
(@mzawa)
50K Pay Cash
Joined: 2 years ago
Posts: 12
Topic starter   [#80]

Nashida na bump la Toyota Fortuner na taa zake naomba bei.



   
ReplyQuote
Moderator
(@moderator)
Moderator
Joined: 2 years ago
Posts: 65
 

Habari,hii huduma inatolewa kwa Trusted Memmbers tu.

 

Ukitaka kulipia kifurushi cha membership wasiliana na @admin 



   
ReplyQuote
Mzawa
(@mzawa)
50K Pay Cash
Joined: 2 years ago
Posts: 12
Topic starter  

Kivipi sijaelewa hiyo trusted member kitugani?



   
ReplyQuote
Moderator
(@moderator)
Moderator
Joined: 2 years ago
Posts: 65
 

Trusted membership au Paid Membeship ni vivurushi vya mwaka ukilipia utaweza kupata huduma mbambali kupitia kwenye hii Platform.



   
ReplyQuote
Mzawa
(@mzawa)
50K Pay Cash
Joined: 2 years ago
Posts: 12
Topic starter  

Kwani ni bei gani kwa mwaka?

 

Na Kama sina inakuwaje? 



   
ReplyQuote

zoom

Moderator
(@moderator)
Moderator
Joined: 2 years ago
Posts: 65
 

Kama huna hicho kiasi  sio kesi ikitokea kuna mtu anayo hiyi spare au bidhaa utawasiliana  naye na sisi tutakusaidia kufanya malipo na kuchukua mzigo kwa mteja na kuuleta kwako ulipo.

 

Ukilipia hii membership tunakutafutia wenyewe utapata mzigo wako ndani ya myda nfupi kwa bei mzuri za ushindani.

Gharama ni kuanzia elfu 50,000 hadi milioni moja utapata kifurushi kinachokufaa.



   
ReplyQuote
Paulo Aman
(@paulo-aman)
50K Pay Cash
Joined: 2 years ago
Posts: 21
 

Hii naweza kuipata bossi wangu.



   
ReplyQuote
Mzawa
(@mzawa)
50K Pay Cash
Joined: 2 years ago
Posts: 12
Topic starter  

Naomba bei na picha 



   
ReplyQuote
Paulo Aman
(@paulo-aman)
50K Pay Cash
Joined: 2 years ago
Posts: 21
 

Hapana mimi sina hii kitu yakutafuta inabidi uniwezeshe Rand 500 tu niingie mtaani nikakutafutia hii spare  yako.



   
ReplyQuote
Mzawa
(@mzawa)
50K Pay Cash
Joined: 2 years ago
Posts: 12
Topic starter  

Pesa nyingi sana I see dah.



   
ReplyQuote

Paulo Aman
(@paulo-aman)
50K Pay Cash
Joined: 2 years ago
Posts: 21
 

Unabei gani?



   
ReplyQuote
Mzawa
(@mzawa)
50K Pay Cash
Joined: 2 years ago
Posts: 12
Topic starter  

Wewe tafuta Kisha nitumie bei na picha kwani shida ikowapi?



   
ReplyQuote
Paulo Aman
(@paulo-aman)
50K Pay Cash
Joined: 2 years ago
Posts: 21
 

🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣  hakuna mteja hapo ni ma story ya town.



   
ReplyQuote
Mzawa
(@mzawa)
50K Pay Cash
Joined: 2 years ago
Posts: 12
Topic starter  

Posted by: @moderator

Trusted membership au Paid Membeship ni vivurushi vya mwaka ukilipia utaweza kupata huduma mbambali kupitia kwenye hii Platform.

Bei gani na how to pay?

 



   
ReplyQuote
Moderator
(@moderator)
Moderator
Joined: 2 years ago
Posts: 65
 

50k  ukishalipia weka receipt  inaweza kuhitajika.

 IMG 20230602 WA00031


   
ReplyQuote