@gidion-lazaro Uko Mkoa gani boss wangu nikupe bei pamoja na ghrama za usafiri.
Mswaki upo 1,700,00 nakupa mswaki ukafunge.
Nitakuuzia mswaki 1,8ml Engine uko vizuri sana.
2.8 Engine complete ipo.
@tokyo-used-parts Nipo Dodoma
@gidion-lazaro Sawa fanya 1.8 nikutumie Engine mswaki pamoja na usafiri.
Mswaki ni kitu gani?
Nahitaji Mswaki
3ml. mzigo uko Japan lipia nikutumia.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
@dubai-used-parts na guarantee yake ?
@gidion-lazaro Engine zangu zimenyokaa mkuu nazichukua Japan kipengele hakuna ondoashaka,jambo jengine pesa za Spare za used @Admin anatulipa baada ya mnunuzi kufunga kwenye Gari na kuwasha. Engine used Japan hata kama sio fundi Engine ukiangalia kwa macho unaoa mzigo.
@kalagutuka Yes utapata the some kama hii bei yake ni 3ml bila Geabox.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿