3S RAV4 Engine want...
 
Notifications
Clear all

Urgently Wanted 3S RAV4 Engine wanted

(@ramadi)
3M Trade Bond
Joined: 2 years ago
Posts: 9
Topic starter   [#939]

Kama kuna mtu mwenye Engine ya 3S naomba tukubalie hapa ninunue hii ya kwangu imeshindikana

 niko Sehemu moja inaitwa Kiserwa jirani na Ukerewev.Hii ya kwakungu nimefungua nimekuta ni mbovu kila kitu ya kupima.

633256AA F420 46C4 A842 02D78D6C2881

Mziwanda reacted
ReplyQuote
Mziwanda
(@mziwanda)
1k Pay Cash
Joined: 2 years ago
Posts: 5
 
@ramadi Unaka yoyote kesho niamke nayo?

Ramadi reacted
ReplyQuote
(@ramadi)
3M Trade Bond
Joined: 2 years ago
Posts: 9
Topic starter  

@mziwanda mtumba Japan boss unayo nipe bei hakikisha isiwe na kipengele chochote.

ReplyQuote
Mziwanda
(@mziwanda)
1k Pay Cash
Joined: 2 years ago
Posts: 5
 
@ramadi Mbona uko na zero balance pesa yangu naipataje?

ReplyQuote
(@ramadi)
3M Trade Bond
Joined: 2 years ago
Posts: 9
Topic starter  

Unataka niweke ngapi wakati hata Engine yenyewe bado hata bei hujui bei gani ebu kuwa serious kidogo,

ReplyQuote

like

Jonson John
(@jonson-john)
100M Trade Bond
Joined: 2 years ago
Posts: 280
 
3s

Engine yako kama hii?

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

ReplyQuote
(@ramadi)
3M Trade Bond
Joined: 2 years ago
Posts: 9
Topic starter  

@jonson-john Exactly how much.Hii Engine iko Bongo mkuu?

ReplyQuote
Jonson John
(@jonson-john)
100M Trade Bond
Joined: 2 years ago
Posts: 280
 
@ramadi 3ml mzigo uko Japan ukilipia nakupakilia mzigo wako,mzigo ukifika Dar utajulishwa,hii mashine kali inatema maji.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

ReplyQuote
Kasanga Tumbo
(@kasanga-tumbo)
70K Trade Bond
Joined: 9 months ago
Posts: 6
 
@jonson-john Utachukua muda gani kufika,je kuna mtu mwingine mwenye Engine hii jamani tufanye biashara?

ReplyQuote
Jonson John
(@jonson-john)
100M Trade Bond
Joined: 2 years ago
Posts: 280
 
@kasanga-tumbo mwezi wa 10 mwishoni.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

ReplyQuote

Kasanga Tumbo
(@kasanga-tumbo)
70K Trade Bond
Joined: 9 months ago
Posts: 6
 
@jonson-john Sawa nakungojea boss wangu.

ReplyQuote
Jonson John
(@jonson-john)
100M Trade Bond
Joined: 2 years ago
Posts: 280
 
Posted by: @kasanga-tumbo

@jonson-john Utachukua muda gani kufika,je kuna mtu mwingine mwenye Engine hii jamani tufanye biashara?

Kwani nani kati ya wewe na @Ramadi anataka hii Engine mbona mnanichanganya?

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

ReplyQuote
(@ramadi)
3M Trade Bond
Joined: 2 years ago
Posts: 9
Topic starter  

@jonson-john Mini ndio nataka hii lakini  @Kasanga-Tumbo nifundi alinielekeza kwenye hii planform, nisipokuwa online anaweza kutuma requst yeye bro.

Hii Engine iko paid tayari kama unaweza kuona my account yangu so i am wating for you.

ReplyQuote
Jonson John
(@jonson-john)
100M Trade Bond
Joined: 2 years ago
Posts: 280
 
@ramadi Sawa. lakini   umetumia kulipia account gani  mbona  hii iko zero au unamiliki account ngapi mbona mnanichanganya?

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

ReplyQuote
(@ramadi)
3M Trade Bond
Joined: 2 years ago
Posts: 9
Topic starter  

@jonson-john Tatizo nini boss malipo yakilipwa kupitia account yoyote kuna shida Gani kwani?

ReplyQuote

Jonson John
(@jonson-john)
100M Trade Bond
Joined: 2 years ago
Posts: 280
 
Posted by: @ramadi

@jonson-john Tatizo nini boss malipo yakilipwa kupitia account yoyote kuna shida Gani kwani?

Shida ipo ukiwa mbishi hii mashine sipakii, kila mtu abaki na chake,wewe umefungu hii thread kwa account gani unata ulipie kwa account gani? unataka ulipe kwa account tofauti na hii maanayake  nini ?

Kama ume deposit pesa kwenye account nyingine kimasoka tofauti na hii bodo mapema,mwambie admin akusaidie  kuhamisha na kuileta  hiyo pesa kwenye account hii, tofauti na hapo sipakii Engine hadi nione balance kwenye account hii..

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

ReplyQuote
(@ramadi)
3M Trade Bond
Joined: 2 years ago
Posts: 9
Topic starter  

@jonson-john Sio kwamba nakuchekecha bro mimi mgeni kwenye hizi mambo za online ndio maana sielewi kipi ni kipi,basi sawa mambo yasiwe mengi  ngoja namcheki admin,aweke mambo sawa nakurudia soon.

ReplyQuote
Jonson John
(@jonson-john)
100M Trade Bond
Joined: 2 years ago
Posts: 280
 
@ramadi Mgeni una account ngapi?  Usipateshida kurudi hapa na kuongea sana weka  balance kwenye account yako hii  uliotumia kufungulia hii thread  nitaona nitaendelea na progress kama tulivyo kubalina.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

ReplyQuote
Used Parts Barakuda
(@used-parts-barakuda)
3M Trade Bond
Joined: 2 years ago
Posts: 8
 
Hii Engine nayo mkuu tunafanyaje?

ReplyQuote