Habari wakuu mwenye kuuza hii gari Nissan NP 300 hardbody 2015..2.0L double cabin
2015 Nissan Hardbody Np300 2.4i LWB 4x4 Pick Up Single Cab
Muonekanano kama hii hapa kwenye picha?
@gp-logistics double cabin mkuu
Hili ni Gari la Kisouth.
Hili Gari hakikisha unapa Desel Engine.
Mileage 200,000 utachukua?
@arusha-icon Hata Japan yako mengi sana haya.
@cheusi sawa sawa
@kabandwa sahihi kiongoz
Hili Gari lipo linahitaji 32ml liko Dar.
@luyanda-criss your contact please
0782885425
@luyanda-criss nmepiga kapokea mtu mwingne…huna namba nyingne
@raphael Mmmh 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 !
@raphael Vipi umempata?
Hizi Gari zote petrol,kama una bajet ya Rand 100,000 nitakupa moja mzuri.
@dincher Mwenywe aseme bajet yake tuingie kazini.
Vipi ulipata hili Gari?
Hili Gari lipo bado unahitaji?