1.UTARATIBI WA KUSHIRIKI UKO HIVI:-
2.JINSI YA KULIPIA CARD YA KUSHIRIKI KWENYE MINDA.
3.KUJARIBU NI BURE.
4.UKISHALIPIA ADA YAKO YA MWAKA KWAJILI YA KUSHIRIKI MINADA.
5.WASHIRIKI KUTOKA SEHEMU YOYOTE NDANI NA NJE YA NCHI.
6.MASHARTI YA MINDA.
7.JINSI YA KUWEKA MNADA WAKO.
8
.JINSI YA KUBID.
9.MAWASILINO KWAJILI YA KUJIUNGA.
10.JINSI YA KUFANYA MALIPO
Maelekezo jinsi ya kulipia bidhaa zako na Huduma bonyeza Hapa!
@digxam Nimekulewa.
Swali mbona nikitaka kulipia 1,000 inakatwa kiasi cha 1050 naomba ufafanuzi kidogo.
Tayari nimeshalipia naomba uniweke nafasi ya mbele hapo.Ricept ya malipo iko hapo chini.
@jonson-rumanyika Asante kwakujisajili kwenye mnada wa online siku ya leo.
@jonson-rumanyika Hiyo 50 ni kodi ya Serekali boss wangu.
Swali langu ni hivi ikifika tarahe 1/12 sijalipia itakuwa?
@amani-isaya Utashindwa kushiriki minada, bora ulipie mapema kukukwepa usumbufu unaweza kujitokeza.
Buku buku umefanya fear sana.
@amani-isaya Karibu sana.
Tayari nimelipia,angalia jina la Amani Isaya hapa.
@amani-isaya Asante.
Naomba niungwe kwenye mnada tayari nimeisha toa buku hapo mh admin naomba angalia jina Glory Ivan hapo.
@glory-ivan Sawa tayari.
Pamoja sana Digxam.
Tayari nimelipia Jina ni Shereen S. Shamsa.
@sherlyn Tayari umeunganishwa karibu sana.
@digxam Twende polepole,huu mnada ndio ukoje?