Notifications
Clear all

Natafuta muwekezeja kwenye ujasiriamali wa ufugaji wanyuki

(@maendeleo)
Honorable Member
Joined: 8 hours ago
Posts: 2
Topic starter   [#1558]

Kama kuna muwekezaji naomba tuwasiliane tushirikiane kwenye uwekezaji wa biashara ya ufugaji wa nyuki na masega,tayari na mradi mkubwa,nimevuna malambili asali lakini bado kunachangamo nyingi kwenye ufugaji wa nyuki.

  • Nahitaji Masoko
  • Vifungashio 
  • Vifaa vya kulina asali
  • Kutengeneza mizina nk.


   
ReplyQuote