Wadau mambo vipi!
Naomba ushauri kati ya makampuni haya mawili lipi bora?
A. Toshiba
B. Panasonic
Naomba msaa kabla ya kufanya maamuzi.
Makampuni yote mazuri ila Panasonic ni mzuri zaidi ya Toshiba yote ni Japan 🇯🇵
A. TOSHIBA
B. Panasonic
Asante wadau!
Kwani hizo freji zinakitugani cha zaidi?
Asante kwa ushauri bandugu siku nikitaka kununua nshajua cha kufanya
Hii nilinua kwenye jukwala la vifaa vyandani sijui kwanini walilifuta
hii freji inazaidi ya miaka sita sijawai weka gest wala kusumbua kitu chochote. Toshiba wako vizuri sana
mimi ni timu Panasonic
Kati ya freji la Toshiba na Panasonic nichukue kampuni gani?
Panasonic