@naancy Kama bei gani?
Yamkononi?
Nikuuzie ya kwangu?
Ukowapi nikukopeshe?
dm namba yako ya whatspp
Niko serious guys
Sema mwenyewe utatoa bei gani hii used Japan
@ally-kanagawa Hizi simu zinazingua sana vioo