Madalali kinyerezi tukutane hapa
Nashida na nyumba ya kupanga yenye vyumba viwili jiko choo sebule kwenye fance.Nalipa miezi mitatu kwanza.