Napata wapi Laptops kwajili ya biashara?
@p-shayo Aina gani ya PC unataka boss?
weka specifications pc nijue pakuzipata.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿