Hii midude ya hivi ni bei kuliko IST zamani nikuwa navioenda tatizo bei
5ml iko mezani boss
Huu mnada ni week moja kunzia leo,kama bado uja subscribe usikosa fanya leo kujulishwa kinachoendelea kwenye huu mnada
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Ngoja nikae sit ya mbele
Hivi ndio vitu vyangu,mkuu ukikosa mteja kabisa ni stue
500k iko mfuko wa shati
3ml ipo mezani basi
Ikikupendeza nipe hii bake kwa 7ml niko tayari.
Kuweni Serios guys zimebaki siku 27 mnada uishi.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Kaka nilikutumia offa yangu kwenye private Messege sijajibiwa.
Nimeku Dm naomba u reply huko huko dm please
Tuweke pikipiki zisozo michezo pia
Vipi hii biashara imefanyika au bado inapatikana.
Hii pikipili imeuzwa nje ya huu mnada
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿