1.Rate za Points kilautakachokifanya kwenye hii Platform
Naomba maelekezo jinsi ya kuvuna points ?
@karumuna Zikifika Points 10,000 utapa option ya kutua points zako kwenye account yako.
Jambo jema.
Naomba kujua rate ya point na kiasi cha kutoa
Point 10,000 ni sawa na elfu 3 au?
Sawa
Hii hesabu kidogo sijaelewa naomba kueleweshwa kidogo
1000
Zagu napata ngapi?
Jambo jema
Hizi napata ngapi
Kama mtu yuko mje ya Tanzania points zake anavunaje?
@doreen-jimy-kagaruki Hakunashida utapata pesa zako tutakutumia popote ulipo
Hizi zinatokaje?
Hizi pwunt tugawie basi
Sawa