1.Jinsi ya kujisajili.
- Ingia kwenye Registration Form au bonyeza hapa.
- Weka user name au jina la Biashara yako.
- Weka email yako,hakikisha email ujaikosema.
- Kubali terms na Rules za palatiform kwakuweka tik kwenye box
- Kisha Tuma.
2.Ukipata ujumbe wa usajiliwako umegoma kwa rangi nyekundukudu.
- Rudia tuma zaidi ya malamoja itakubali.
- Ikikubali angaliachini kwenye Our newest member utaliona jina lako.
- Usajili utakuwa umekamilika.
3.Hatu inayofuta baada ya Usajili kukamilika.
- Ingia kwenye email yako kwenye inbox utakuta link imetumwa kwajili ya kutengeza password yako.
- Ukikosa kwenye inbox ingia kwenye jank mail utaikuta.
- Fungua email kisha bonyeza link kutengeza password.
- Ukimaliza kutengeza password hamisha hiyo email kutoka kwenye jank kwenda kwenye inbox kwajili ya email zitakazofuta.
- Ukiacha email ya kwanza kwenye jank mails email zetu zote zitaendelea kuingia kwenye jank mails.
- Baada ya kutengeza password usajili wako utakuwa umekamilika.
4.Kama ulijisajili jina lako au email yako vipo kwenye app kwabahati mbaya ujatengeneza password fanya hivi.
- Ingia kwenye Registration Form kwenye Lost your password au bonyeza hapa
- Weka email yako au user name
- Kisha tuma.
- Utapokea link kwenye email yako kwajili ya kutengeza password mpya.
- Baada ya kutengeza Password mpaya ingia kwenye login,weka user name na password yako.
- Baada ya usajili wako kukamilika utapa points zako 1,000 ambazo unaweza kuzitoa kama pesa.
- Maekezo jinsi ya kupata points bonyeza hapa
5.Kama unahita msaa zaidi kuhusu kuji sajili
- wasilina nasi kupitia info@digxam.site
- Au wahtspp +255 769 443 448