1.Rate za Points kilautakachokifanya kwenye hii PlatformÂ
- Registration/Kujisajili:Usajii wako ukikamilika utapata points 1,000.
- Kufungua content za watu wengine utapata Points 10.Â
- kuandika kitu chochote kwenye hii app utapa Points 100.
- Ukiingia kwenye hii app kilasiku utapata Points 50.
- Ukishare content yoyote kwenye mitandao ya kijamii utapata Points 70.
- Ukimtumia link mtu au rafiki yako akajisajili utapa Points 500.
- Ukifungua video utapa points 100.
- Ukituma ujumbe kwa njia ya sauti utapa Points 100.
- Siku yako ya kuzaliwa ikifika utapata Points 10.
- Ku loig in utapa points 100.
- Points for Annversary 10.
- Points for Participating 70.
- Points foe click on link 500.
- Points za ku follow users 100.
- Points zaku Subscribe content au topics 100.
- Points za kulike posts 100.Â
- Nakwendelea.......
- Maelekezo jinsi ya kujisajili kwenye app bonyeza hapaÂ
- Rate ya points kwa siku inabadilika kulinga na mahitaji,ukitaka kujua rate ya point moja comment hapa chini utajibiwa na admins au Moderators.
- Kama unaswali au malalamiko kuhusu Points naomba coment hapa chini tutayafanyia kazidi nadani ya mida mfupi.