Unaweza kutusaidia kupost kitu gani unataka kipya au mtumba kisha tukitafute tukuwekee picha video na bei kisha lipia tukusafirishie.
Nahitaji fridge mpya kubwa yenye ovena kwanjuu bei gani.
Nashida na Fan ya chini ya 20k kama ipo naomba picha.
Nashida na rice cooker na microwave