Notifications
Clear all

WEKA GARI SHINDA 2ML TUWEKEE GARI LINALOPENDWA SANA USHINDE ZAWADI YA 2ML 2024.

108 Posts
69 Users
874 Reactions
955 Views
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 433
Seller
Topic starter
 
Polish 20241028 132052029

 

TANGAZO LA SHINDANO LA  GARI PENDWA 2024,MSHINDI ATAPATA ZAWADI YA KITITA CHA 2,000 Tsh.

Kama unajua aina ya Magari yanayopendwa Tanzania,fanya mambo yafutayo ingia hapo chini kwenye comments section andika jina la hilo Gari.

(A) Your Answer: ni sehemu ya kuweka Gari kwenye list.

(B)Add a Comment:Uliza swali lolote kati ya Magari yaliko kwenye list.

(C)Bonyeza alama ya kwanza juu kusho kupiga kura yako au ku like, 

(D)Gari litakalopata kura nyingi mtu alielipost atapata zawadi ya 1.ml

(C)Unaruhusiwa kuweka Gari zaidi ya moja.

(D)Unaruhusiwa kupiga kura Gari zaidi ya moja.

(E)Kila mtu aliye jisajili atapata nafasi yakupiga kura moja tu.

(F)Gari lenye kura nyingi lipapanda juu.

(G)Magari yakifuka 100 kuongeza Gari kwenye shindano utalia 20,000.

(H)Baada ya kuweka post ya Gari haikisha unaomba watu kutoka sehemu mbalimbali wajisajili na kukupigia kura.

 

KUPITIA SHINDANI HILI UTAKUTANA NA WAUZAJI WA MAGARI WA NDANI NA NJE YA NCHI..

1.Magari yaliyoko Tanzania kwenye show room za Magari.

2.Magari ya kuagiza Numberless lakini watu binafsi.

3.Magari yaliyotumika Tanzania.

4.Magari yaliyoko Japan.

5.Magari yaliyoko Africa Kusini.

6.Unapouliza bei tuambia unataka Gari kutoka wapi ujibiwe na mtu sahihi.

7.Pia unaweza kupata ushauri kama unamiliki Gari au nataka kumiliki Gari.

8.Andika jina la Gari,picha tutaweka sisi wenyewe.

9.Gari litakalopa kura kuanzia 100 tutalifanyia uchambuzi kwa faida yako.

10.Tukutane kwenye comments section tuchague mshindi wetu wa 1,000 ml 2024.

Share hii page kwenye mitandao ya kijamii bilakusahau kulike na comment hapa chini.

  • Kushiriki shindano la  (TUWEKEE GARI LINALOPENDWA SANA USHINDE ZAWADI YA 1ML 2024 BONYEZA HAPA)
  • Kuona mshindi wa shindano  la (WEKA PICHA YENYE MVUTO USHINDE 30,000) BONYEZA HAPA.

     

  • SHINDANO HILI LIMEDHAMINIWA NA:
  • DIGXAM LIPA KWA SIMU.
  • NUNUA GARI BORA KWA BEI RAHISI KWANJIA YA MNADA.
image

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

 
Posted : October 25, 2024 1:02 pm
Sophia Simba, Chief GodLove, Leah and 106 people reacted
(@mesha-luhede)
Posts: 1
0.000
 

66.ISSUZU GIGA

image

 

 
Posted : October 29, 2024 9:16 am
(@teddy-methio)
Posts: 3
0.000
 

67.NISSAN SERENA

image
 
Posted : October 29, 2024 9:46 am
(@west-london)
Posts: 7
0.000
 

@pili-matiku Hii bei gani kilakitu hadi usajili?

 
Posted : October 30, 2024 6:10 am
(@west-london)
Posts: 7
0.000
 

@juma-sanka Hii bei gani?

 
Posted : October 30, 2024 6:12 am
(@eliaus-mshana)
Posts: 2
0.000
 

68.HINO RAINBOW 

20230105 075325

 

 

 
Posted : October 30, 2024 7:52 pm

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week.

(@diana-john)
Posts: 1
0.000
 

69.TOYOTA PRIUS 

image
 
Posted : October 30, 2024 9:11 pm
(@vanessa-kitare)
Posts: 4
0.000
 

70.TOYOTA ESTIMA AERAS 

image
 
Posted : October 30, 2024 9:27 pm
(@manka)
Posts: 6
0.000
 

Land Rover Double Diff 

 

61735EC4 6ABE 431C A3EC A68E13062FB7

 

 
Posted : November 1, 2024 11:20 pm
Page 2 / 2

Leave a reply

Author Name

Author Email

Title *

My Media   or drag and drop it here. Max file size 1GB
 
Preview 0 Revisions Saved

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week. More Info.


Digxam

FREE
VIEW