vifaa vya kubandika...
 
Notifications
Clear all

vifaa vya kubandika kucha na rangi

Zuena
(@zuena)
Posts: 8
Honorable Member
Topic starter
 

Niambia popote ulipo nikutumie vitenda kazi kama vifaa vya kuwekea kucha na rangi.


 
Posted : September 28, 2025 12:25 pm
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 582
100M Trade Bond
 

@zuena Unauza au unahitaji?


Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darβœ… Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.βœ…βœ…πŸ‘πŸ’ͺπŸ™πŸΏ

 
Posted : October 18, 2025 5:28 am