Natafuta vifaa vya Toyota Rava4 vya chini voye,mwenye navyo naomba tuwasiliane.
Weka picha tuine hiyo Rava4.
Ok
Namba muda kidogo nitakujibu.
Vipi umepata hizo spare za Rav4 ?
Pia nashida ya Spare parts.