natafuta Self Start...
 
Notifications
Clear all

Urgently Wanted natafuta Self Starter Motor ya Prado TX Engine 2TR

(@jensen)
1K Trade Bond
Joined: 2 years ago
Posts: 11
Topic starter   [#906]

 

image
image
image
image
image

 

Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo huu hiyo starter nashida nayo leo hii, ikichelewa basi kasho niipate.

Nataka mtumba kutoka Japan au Dubai sio used bongo, pia kama unayo mpya, kama kuna mtu anazo zote  mbili mpya na mtumba naomba aje hapa na picha tufanye biashara.

Wauzaji wote hakikisha umesajiliwa na kutambulika yaani verified Members only.

 

 

 

 



   
ReplyQuote
(@tokyo-used-parts)
2.M Trade Bond
Joined: 2 years ago
Posts: 24
 

@jensen Hii Starter ipo,kwani uko wapi?



   
ReplyQuote
(@jensen)
1K Trade Bond
Joined: 2 years ago
Posts: 11
Topic starter  

@tokyo-used-parts Niko Katoro nimekwama hapa kama unayo serious naomba picha.



   
ReplyQuote
Jonson John
(@jonson-john)
100M Trade Bond
Joined: 2 years ago
Posts: 280
 
image
image
image
image

 

700,000 Tsh. Mpya kabisa.


Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿


   
ReplyQuote
(@jensen)
1K Trade Bond
Joined: 2 years ago
Posts: 11
Topic starter  

@jonson-john Parefu sana mkuu,kula 300k nifunge zero km hiyo.



   
ReplyQuote

polish 20260603 100828211

Jonson John
(@jonson-john)
100M Trade Bond
Joined: 2 years ago
Posts: 280
 

Asante next time,hii bei yake sikupunguzi hata mia mkuu.


Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿


   
ReplyQuote
(@tokyo-used-parts)
2.M Trade Bond
Joined: 2 years ago
Posts: 24
 

Hi ni used Japan kupitia Dubai.

Fanya 230,000 nikutumie saizi kwenye mabasi ya kuja Katoro kesho uipokee ufunge uendelee na safari.

Muda pia ni pesa.

image
image
image


   
ReplyQuote
(@jensen)
1K Trade Bond
Joined: 2 years ago
Posts: 11
Topic starter  

Yes hii ni yenyewe ,fanya 200,000  tumalize hii biashara unitumie nifunge.

 


   
ReplyQuote
(@tokyo-used-parts)
2.M Trade Bond
Joined: 2 years ago
Posts: 24
 
image

Hapana bosi muda wakufunga unakaribia kesho bhana.



   
ReplyQuote
(@jensen)
1K Trade Bond
Joined: 2 years ago
Posts: 11
Topic starter  

@tokyo-used-parts @admin @Digxam nimekubalina na @tokyo-used-parts kuniuzia Starter kwa bei ya 130,000 Tsh hii bei ni pamoja na ghrama ya kutuma  mzigo huu kwanjia ya Basi Katoro leo hii.Malipo tayari nimefanya kwenye E-wallet yake.Kama kutatokea changamoto yoyote baada ya kupokea mzigo nitawajulisha @admin 

 

Asante sana kwa huduma hii Mungu awabariki wote.



   
ReplyQuote

zoom

(@tokyo-used-parts)
2.M Trade Bond
Joined: 2 years ago
Posts: 24
 

@jensen Asante sana,mzigo wako uko mjiani kuelekea Urafiki Ubungo,tukutane hapa kesho baada ya kuupokea.



   
ReplyQuote
Digxam
(@digxam)
Admin
Joined: 2 years ago
Posts: 22
 

@tokyo-used-parts Hakikisha unamtumia na receipt ya IFD kwenye mzigo wake.



   
ReplyQuote
(@tokyo-used-parts)
2.M Trade Bond
Joined: 2 years ago
Posts: 24
 

@digxam Tayari nimemuwekea kwenye mzigo wake,akipokea atasema mwenyewe.



   
ReplyQuote
(@jensen)
1K Trade Bond
Joined: 2 years ago
Posts: 11
Topic starter  

Mzigo umefika tayari nimefunga Asante sana



   
ReplyQuote
(@tokyo-used-parts)
2.M Trade Bond
Joined: 2 years ago
Posts: 24
 

@jensen  Asante karibu tena.



   
ReplyQuote