KAMA UNATAKA KUFANY...
 
Notifications
Clear all

Coming Soon! KAMA UNATAKA KUFANYA BIASHARA ZA SPARE ZA MAGARI MAYPA NA MTUMBA(USED)KUTOKA JAPAN TUWASILIANE.

Ally Kanagawa
(@ally-kanagawa)
100M Trade Bond
Joined: 2 years ago
Posts: 6
Topic starter   [#599]

Kuna watu wengi wanatamani kufanya biashara za spare za Magari ya Used na Mapya ila wanakosa taarifa sahihi kwaribu sana.

1.Jisaji 

2.Niambia spare gani unahitaji 

  • kuna body 
  • Kunaa taa 
  • kuna engines 
  • kuna Rangi
  • nk


   
ReplyQuote
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Admin
Joined: 2 years ago
Posts: 49
 

@ally-kanagawa Kuboresha huduma uliza sawali,Post au Comment,naku like post hii.



   
ReplyQuote
(@david)
Honorable Member
Joined: 2 years ago
Posts: 1
 

@ally-kanagawa Naweza pata Differential ya Toyota Noah SR40. Hii ni moja tu kwa ajili ya gari yangu



   
ReplyQuote
Ally Kanagawa
(@ally-kanagawa)
100M Trade Bond
Joined: 2 years ago
Posts: 6
Topic starter  

@David ikiwa pamoja na Tube housing yake sio?



   
ReplyQuote