Kama unataka kitu chochote cha Gari lako njoo agiza moja kwa moja kutoka Japan, comment chini toa maelezo ya kutosha .Vigezo na Mashart nakuweka hapa chini.
Kuna vitu vidogo vidogo sana amabavyo pengine kuvipata mtaani ni kazi,nfano kama
Ukiagiza Spare kwangu kuwamakini sana na model code ya spare zako,nikishakutumia spare zaka zikafika ukamtumia mteja wako au ukaenda kufunga zikatofautiana hizo zako sitakusikiliza kabisa.
Kama wewe ni ndau wa Magari na Spare hakikisha una subtribe hii post ili upate notification pia siombaya ukishare na jamaa na marafiki zako kwenye mitandao ya kijamii.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Nahitaji Engine ya Gari langu aina ni 16 VALVE EFI Toyota Spacio old utaniletea kwa bei gani?
Hiyo Engine ni kati ya 5A au 4A pamoja na Geabox 2,7ml
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Weka picha tuone.