Notifications
Clear all

ENGINE COIL MAGARI MBALIMBALI ZIKO SOKONI

Jonson John
(@jonson-john)
100M Trade Bond
Joined: 2 years ago
Posts: 294
Topic starter   [#1414]

Huyu ni Mpakistani yuko Dubai anauza Coil za magari aina mbalimbali kutoka Japan.

 

Kama unauza used coils kama hizo kwenye video,unaweza uagiza mziko kwake sawa na kununua kwangu kwasabu mzig wote na mtumia mimi.

Unaweza kuwa siliana na kupitia namba zake za simu hapo kwenye video ya TikTokΒ  pia unaweza kunfollow kwenye hiyo account yake ya TikTok.

https://vt.tiktok.com/ZSVD9wryG/


Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darβœ… Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.βœ…βœ…πŸ‘πŸ’ͺπŸ™πŸΏ


   
Kidedea reacted
ReplyQuote
Kidedea
(@kidedea)
1k Pay Cash
Joined: 2 years ago
Posts: 10
 

Hii mashine yaΒ  kupima coil naipataje boss?



   
ReplyQuote
Jonson John
(@jonson-john)
100M Trade Bond
Joined: 2 years ago
Posts: 294
Topic starter  

@kidedea Hizi nazigawa bure kwa wateja wangu ambao wauza coils za mtumba.


Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darβœ… Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.βœ…βœ…πŸ‘πŸ’ͺπŸ™πŸΏ


   
ReplyQuote

camera