@kasanga-tumbo HiiΒ mkuu kama unahitaji kutoka Japan inabidi uwe na Unlimited Membership, Kuna gharama kuitafuta hii ControlΒ ikipatikana usije ukaingia mitini bro. Ongao vizuri na @admin mkimalizana nitume watu waisake.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darβ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.β β ππͺππΏ
@kasanga-tumbo Ongea na Admin cheki kwenye whatspp yake,au ongea naΒ member mwenye Unlimited hizi kazi ni ngumu sana lengo langu ikipatikika usikimbie kwasabu hii kazi yako ni ngumu sana hii Control ya kutafuta sehemu nyingi sana kuna ghrama.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darβ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.β β ππͺππΏ
Usiwaze niko serious bro 😎 nahitaji sana.
@hirano-motohiro I am going to pay that member soon you view all details you want.
@kasanga-tumbo Bado tunatafuta nitakupa jibu soon.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darβ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.β β ππͺππΏ
Thank you for your inquiry.
According to οΌGDJ150-0084695,
89661A is 89666-60C52.
Unfortunately, the parts you inquired is discontinued.
The manufacturer won't produce it anymore.
We can not find used parts, either.
89666-60C52
We truly apologize for the inconvenience.
If you are interested in any other Japanese auto parts, please feel free to contact us anytime.
We hope to see you again shortly.
Hii ni kipusa mkuu.hakuna kila sehemu hata mjapan hapo juu kachemka sio mchezo.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darβ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.β β ππͺππΏ