Notifications
Clear all

Urgently Wanted Ninahitaji Land Rover Discovery4,V6 2010

(@pascal)
Honorable Member
Joined: 1 year ago
Posts: 3
Topic starter   [#765]

Ninahitaji Land Rover Discovery4,V6 2010



   
ReplyQuote
GP Logistics
(@gp-logistics)
100M Trade Bond
Joined: 2 years ago
Posts: 110
 

Habari,

Kwa upande wa Africa Kusini utapata hili Gari,bei zinatofautia kulingana na km ambazo Gari limetumika pamoja  na ubora wa Gari kwaujumla.Nitafutafutia Gari zuri baada ya   majibu ya maswali yangu hapa chini.

Nitakua mchanganua wa gharama za manunuzi usafiri pamoja na ushuru.

  • Unahitaji  Land Rover Discovery4,V6 2010 zero km au used?
  • Kama ni used vipi ungependa km ngapi?
  • Kuna option ya Engine ya Petrol na Diesel vipi ungependa tukutafuti Gari lenye Engine Gani?
  • Pia sio mbaya tukijua bajet yako kabla ya kutafuta Gari.


   
ReplyQuote
 Sai
(@sai)
Honorable Member
Joined: 2 years ago
Posts: 2
 

Namba C vipi?



   
ReplyQuote
(@Pascal Luhahula)
Joined: 1 year ago
Posts: 1
 


   
ReplyQuote
Sabini
(@sabini)
Honorable Member
Joined: 2 years ago
Posts: 25
 

Ipo namba C inahita 25ml.Kama uko tayari njoo ukague Gari.

Gari liko Magomeni mapipa.



   
ReplyQuote

zoom

Mandela
(@mandela)
2.M Trade Bond
Joined: 2 years ago
Posts: 15
 
B22D2E9E 0CB9 4991 BE59 A3209236EF58

Ipo Discover 3



   
ReplyQuote
(@pascal)
Honorable Member
Joined: 1 year ago
Posts: 3
Topic starter  

@gp-logistics nahitaji used,kuanzia 200,000km kushuka chini,Engine Diesel budget mpaka Tanzania isizidi 35ml.



   
ReplyQuote
GP Logistics
(@gp-logistics)
100M Trade Bond
Joined: 2 years ago
Posts: 110
 

@pascal  Ushuru utulipia mwenyewe baada ya Gari kufika?

 

Vipi kuhusu rangi unataka rangi yoyote?



   
ReplyQuote
(@pascal)
Honorable Member
Joined: 1 year ago
Posts: 3
Topic starter  

@gp-logistics jumla na ushuri kwa 35ml



   
ReplyQuote
GP Logistics
(@gp-logistics)
100M Trade Bond
Joined: 2 years ago
Posts: 110
 

@pascal Ngumu sana kwa hii budget boss wangu.

  • Ushuru ni 25 ml.
  • Baada ya kununua Gari,tunalifanyia full checkup kabla ya Safari,ikiwa ni pamoja  na kumwaga oil,kuvalisha Tires mpya,kuangalia mifumo yote ikiwemo ya brecks nk kabla ya Safari.
  • Malipo ya kutengeneza  Documents kwajili ya safari.
  • Mafuta. 
  • Garama za kupita kwenye nchi mbili.
  • gharama zetu.
  • Bajet yako sio chini 50ml,pamoja na usajili kasori insurance.

 



   
ReplyQuote

like

(@kipaira-tazara)
Honorable Member
Joined: 1 year ago
Posts: 1
 

Hili Gari nalitaka.



   
ReplyQuote
(@zarina-hendricks)
Honorable Member
Joined: 1 year ago
Posts: 2
 

Mkuu umepata?



   
ReplyQuote

Leave a reply

Author Name

Author Email

Title *

My Media   or drag and drop it here. Max file size 1GB
Preview 0 Revisions Saved