Notifications
Clear all

Natafuta Hilux Pick up kutoka Japan

(@lazernoe_zgmt)
Honorable Member
Joined: 2 years ago
Posts: 2
Topic starter   [#511]

Habari!

Β 

Mimi ni ngeni hapa natafuta Hilux Pick up nitapata kwa bei gani?



   
Jonson John reacted
ReplyQuote
Jonson John
(@jonson-john)
100M Trade Bond
Joined: 2 years ago
Posts: 280
 

Salama.

Hilux pic up aina gani na mwaka gani?


Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darβœ… Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.βœ…βœ…πŸ‘πŸ’ͺπŸ™πŸΏ


   
ReplyQuote
(@lazernoe_zgmt)
Honorable Member
Joined: 2 years ago
Posts: 2
Topic starter  

Naomba niende moja kwa moja kwenye swali langu. Nimekuwa nikisikia kuwa ukinunua gari ambalo lina miaka zaidi ya kumi kuuoka nje. Kunakuwa na kodi ya uchakavu (Excise duty due to age).

Lakini nimefuatilia kwenye kikokotoo cha kodi TRA kuhusu kodi hiyo ya uchakavu nimeona kuwa gari ambayo ni mpya au ni miaka ya karibuni inakuwa na kodi kubwa ya uchakavu kuliko gari la zamani.

Mfano Pick Up Β ya 2009 lenye specification sawa na la mwaka 2014 kodi ya uchakavu kwa Gari Β la 2014 ni kubwa kuliko la 2009. Naomba kufahamishwa hapa imekaaje.



   
ReplyQuote
Jonson John
(@jonson-john)
100M Trade Bond
Joined: 2 years ago
Posts: 280
 

Unatafuta Gari la mwaka gani boss ?


Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darβœ… Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.βœ…βœ…πŸ‘πŸ’ͺπŸ™πŸΏ


   
ReplyQuote

Leave a reply

Author Name

Author Email

Title *

My Media   or drag and drop it here. Max file size 1GB
Preview 0 Revisions Saved