Notifications
Clear all

Coming Soon! Naomba Ushauri wenu wapi ni nunue Gari kati ya nchi zifuatazo Tanzania ,Africa Kusini.Japan Duai wapi kwa uzoefu wako?

 Rado
(@rado)
Honorable Member
Joined: 2 years ago
Posts: 3
Topic starter   [#596]

Habari zenu wadau,swali langu ni fupi wapi kati ya hizo nchi nimezitaja hapo juu nikaagize Gari au kunua Gari,kama unauzoefu nambo ushauri wako.



   
ReplyQuote
GP Logistics
(@gp-logistics)
100M Trade Bond
Joined: 2 years ago
Posts: 110
 

Gari gani unataka kuagiza niku ushauri.



   
ReplyQuote
Jonson John
(@jonson-john)
100M Trade Bond
Joined: 2 years ago
Posts: 280
 

Tutajie bajet yako aina ya Gari unahitaji tutakushauri.


Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿


   
ReplyQuote
Lucas
(@lucas)
25M Trade Bond
Joined: 2 years ago
Posts: 3
 

Unataka aina gari ya Gari?

  • Truck
  • Gari Dogo 
  • Basi

Unataka Gari 

  • Jipya 
  • Mtumba?


   
ReplyQuote
(@makarius)
25M Trade Bond
Joined: 2 years ago
Posts: 5
 

Kuna Magari yanapatika Japan ukiyatafuta South Afrika au Dubai upati pia kna Magari yanapatikana South Africa ukiyatafuta Dubai au Japan upati,ebu funguka unataka Gari gani? 



   
ReplyQuote

zoom

Leave a reply

Author Name

Author Email

Title *

My Media   or drag and drop it here. Max file size 1GB
Preview 0 Revisions Saved