Notifications
Clear all

Urgently Wanted MWENYE MAWASILINO YA WATU AIRTANZANIA JOHANESSBURG .

(@mjasiriamali)
20K Trade Bond
Joined: 1 year ago
Posts: 8
Topic starter   [#738]

Route mpya ya Dar Es Salaam to Johannesburg kwa AirTanzania ni msaada kwa watu wengi,nasikia bei zake ni nafuu sana ukilinganisha na South Africa Airline. Kama kuna mtu kasafiri kwenye hii route ya kutoja Johannesburg to Dar naomba kujua gharama zake ziko,pia namba za wafanyakazi waliko pale Johannesburg wanaokatisha tiketi  sio mbaya kuwa nazo. 



   
GP Logistics and Tatu reacted
ReplyQuote
Omega
(@omega)
40K Trade Bond
Joined: 2 years ago
Posts: 12
 
88F5F235 2FF7 4104 BBF2 37A0232C4FDC

Kilakitu kinapatikana kwenye website yao mkuu usipateshida kumtafuta mtu.



   
Tatu reacted
ReplyQuote
Omega
(@omega)
40K Trade Bond
Joined: 2 years ago
Posts: 12
 

Bei inategemea na tarehe ya kusafiri pia na Kipindi gani.Kuna muda kama mwezi 12 bei za usafiri wa anga na nchi kavu upanda kutokana na idadi kubwa ya wasafiri.



   
Tatu reacted
ReplyQuote
Tatu
 Tatu
(@tatu)
3M Trade Bond
Joined: 2 years ago
Posts: 3
 

Bei ni rahisi sana i see  angalia madaraja hapo chini.

  1. TWIGA BASIC   $210 = 536,499 Tsh
  2. TWIGA GAIN    $355 = 894,894 Tsh
  3. TWIGA CONFORT $678 = 1,731,601 Tsh
  4. TWIGA BUSINESS $ 898 = 2,293,961 Tsh 


   
MJASIRIAMALI reacted
ReplyQuote
(@mjasiriamali)
20K Trade Bond
Joined: 1 year ago
Posts: 8
Topic starter  

@tatu Ukipanda basi umetaka mwenyewe kwasababu ghrama ya basi na hii Twiga basic ziko sawa,njia ya basi ya barabara jau sana  ni ndefu sana pia usumbufu kibao mipakani usipokuwa maikini unaweza kibiwa vitu vyako kwenye ukaguzi.



   
ReplyQuote

GP Logistics
(@gp-logistics)
100M Trade Bond
Joined: 2 years ago
Posts: 110
 

Nipenda Juzi kutoka Dar Johanessburge bei zakawaoda sana pia huduma zao mzuri sana.



   
ReplyQuote

Leave a reply

Author Name

Author Email

Title *

My Media   or drag and drop it here. Max file size 1GB
Preview 0 Revisions Saved