Notifications
Clear all

mwemye toyota ist bajet yangu milion kumi

Rola
 Rola
(@rola)
700K Trade Bond
Joined: 1 year ago
Posts: 2
Topic starter   [#1044]

Vigeza na marti kwa muuzaji.staki longolongo kwenye biashara.

  • muuzaji lazima lazima uwe na vitu vifutavyo.
  • Sema ukweli kuhusu historia ya hilo Gari.
  • Kuwa na Trade Bond ya 10m ambayo nita lock kwa miezi miwili kuchunguza Gari
  • ukidanganya kidogo tu kwenye maelezo tunaridi mezani tunaanza upya biashara,sina muda wa kupoteza,
  • Pesa iko mezani.


   
ReplyQuote

Leave a reply

Author Name

Author Email

Title *

My Media   or drag and drop it here. Max file size 1GB
Preview 0 Revisions Saved