Notifications
Clear all

MADA NI KWA NAMNA GANI UNAWEZA KUAGIZA GARI YAKO.

(@kaizajohaiven)
Honorable Member
Joined: 2 years ago
Posts: 2
Topic starter   [#561]

Digxam NDO company pekeee Ambayo unaweza ukaagiza gari, ama laptop chochote kile na ukakipata kwa wakati sahihi popote ulipo dunian , ko kalibu wewe ambae unasom/ unaona / ambaeunataka kuagiza kalibu na ungana nasi kwa ajili ya kuagiza bidhaa yako unayo taka wewe. Pia ,Kuna vifurushi ambavyo unapewa UKIWA members wa Digxam na UKIWA umejisajili . Kalibun WOTE



   
Kandida and Audax Kato reacted
ReplyQuote
(@audax-kato)
Honorable Member
Joined: 2 years ago
Posts: 4
 

Asante mkuu tukopamoja.



   
ReplyQuote
(@audax-kato)
Honorable Member
Joined: 2 years ago
Posts: 4
 

Nikichagua  kifurushi cha 50k vipi nitapa access zipi mkuu ?



   
ReplyQuote
Kandida
(@kandida)
Service Provider
Joined: 2 years ago
Posts: 8
 

Kwenye minada kifurushi gani kizuri cha kulipia na muda gani kitadumu?



   
ReplyQuote
Kandida
(@kandida)
Service Provider
Joined: 2 years ago
Posts: 8
 

Asante kwa taarifa mh @moderator 



   
ReplyQuote

Innocent
(@innocent)
200K Trade Bond
Joined: 2 years ago
Posts: 8
 

Minada imetiwa password tunaingiaje mkuu?



   
ReplyQuote
Faraja
(@faraja)
Honorable Member
Joined: 2 years ago
Posts: 6
 
C53BFDB4 610F 45F6 B3CF BBA53F2E37FA

😂😂😂😂😂😂😂😂😂



   
ReplyQuote
Jasusi Mweusi
(@jasusi-mweusi)
1k Pay Cash
Joined: 2 years ago
Posts: 15
 

@faraja Nimecheka sana yaani.



   
ReplyQuote

Leave a reply

Author Name

Author Email

Title *

My Media   or drag and drop it here. Max file size 1GB
Preview 0 Revisions Saved