Tabora
Yamebaki masaa machache kupanta mshindo, Tabora ongeza nguvu mnakaribia kutangazwa washindi.
Nautangaza mkoa wa Tabora kuibika kidedea kwenye shindano hili.
Hongera sana wana Tabora na wapiga kura wote kwaujumla kuheshimisha mkoa wenu Mungu awabariki.
Tunaomba mtu aliependekeza awasiliane na admin aweze kupokea kitita cha shilling 500,000 akashetekee vizuri na familia yake.
Asante sana kushiriki na kuchagua Digxam.
Happy New Year 2026.
HONGERA ZENU.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Asante sana Members wote wa Tabora mlioko hapa,watu wote mliopigia kura mkoa wetu wa Tabaro , wadau na wapenzi wa kilimo Mungu wabariki sana.
Napenda kutumia nafasi hii kuwashukuru Digxam kwakuanda tuzo hili Mungu awabariki muendelee kuandaa mashindano mengine zaidi mwaka huu 2026 asante sana nawashukuru sana.
Naomba nitume pesa kwenye Airtel-Money kwenda kwenye namba hii 0787 960 426 jina ni Yasini Kilema.
Asante Sana.