Notifications
Clear all

Natafuta mtu wakuniweza mtaji nipate chereheni mimi ni fundi wa kushona nguo za kike nimekwama cherehani

(@bitangaza)
Mjasiriamali
Joined: 3 years ago
Posts: 3
Topic starter   [#1552]

Kwajina naitwa Erica Bitangaza niko Kibaha Maili moja  Pwani,staki kuweka namba yangu ya simu wazi ila mtu akinutumia kwenye private Messenger nitamtumia.

Kupita jukwa hili naomba kama kuna mtu mwenye cherehani hata kama ni mbovu nitatengeza ilimladi niingie mtaani niamze kazi naishi maisha magumu sana pia na wadogo zangu wananitegeme.



   
Steeve and Meru reacted
ReplyQuote
 Meru
(@meru)
Mjasiriamali ✅
Joined: 3 years ago
Posts: 17
 

Ngoja niulize watu wangu wakaribu, nikipata nitakuambia.Pambana maisha magumu sana.



   
ReplyQuote
(@bitangaza)
Mjasiriamali
Joined: 3 years ago
Posts: 3
Topic starter  

@meru Asante kwakunitia moyo.



   
ReplyQuote

Omega
(@omega)
Mjasiriamali ✅
Joined: 3 years ago
Posts: 15
 

Kwani bei gani hiyo machine?



   
ReplyQuote

Leave a reply

Author Name

Author Email

Title *

My Media   or drag and drop it here. Max file size 1GB
Preview 0 Revisions Saved