Kama uko mwanza nauza nguo za mtumba kuanzia1,000.
Vigezo weka Trade Bond ya 1k kisha niambie ulipo nikuletee nguo.
Bei kuanzia buku kwendelea.
@mtu-kazi wazo zuri mkuu,unacheza na bukubuku watu tupate pamba kali 😍 😍 😍 😍 😍
Karibu sana mkuu,biashara ni mahesabu nikipata watu wangu 20 kila siku mbona najenga hapa mjini
1,000x20=20,000 x30=600,000 hapa mjini najenga nyumba ya Girofa.
Wataje mje sasa na nyie ili tupate riziki,kazi kazi.
@mtu-kazi Mbona kama unatupanga?any way Asante kwa Taarifa tutakuwepo.Wekeni hata kapicha ka hizo biashara jamani tuzione kwa macho sio tuzione kwakutumia masikio.
Niko mwanza napatataje hizo nguo?