Notifications
Clear all

Lesson One – Teaching Skills that Last a Lifetime

6 Posts
3 Users
0 Reactions
62 Views
Fundi Magari
(@fundi-magari)
Posts: 22
10K Pay Cash
Topic starter
 
2F396E96 A617 4E63 A018 9788C08F574F

Automative Starting and Charging System Tutorial.

We are going to learn:

1.Car charging system components.

2.Common charging issues and how to fix them.

I hope you are all ready for your Mechanics lesson

Gharama ya Mafunza  ni 10,000 Tsh.

 

kujiunga na Darasa tuma Private Messenger au comment kwenye comments section.

Lipia fee baada ya kujiunga na Darasa.


 
Posted : October 15, 2025 9:44 am
(@mjasiriamali)
Posts: 24
0.000 Pay Cash
 

Sijalewa hii inakuwaje?

hapa hapa mtandaoni au tunakutana Garage.


 
Posted : October 15, 2025 10:13 am
Fundi Magari
(@fundi-magari)
Posts: 22
10K Pay Cash
Topic starter
 

Darasa ni hapa online nikuunge?


 
Posted : October 15, 2025 10:17 am
(@mjasiriamali)
Posts: 24
0.000 Pay Cash
 

Nikishindwa kulipa inakuwaje mkuu maana ni vema tukubaliana hapa mchikavu tukiingia ziwani ni kuvua samaki 😋 😋 😋 😋 😋 😋 😋 😋 😋 😋


 
Posted : October 15, 2025 10:21 am
Fundi Simu
(@fundi-simu)
Posts: 17
0.000 Pay Cash
 

Siwezi kupata mtu wakunifundisha jinsi ya kufundisha wanafunzi na mimi nianzishe Darasa langu la fundisha jinsi ya kutengeneza simu,nikimpata mtu nitamlipa i see nitamlipoa kidogo wakuu. naomba nicheki kwenye namba yangu hii +255 743 213844 niko kariakoo.


 
Posted : October 15, 2025 10:28 am

exp

Fundi Magari
(@fundi-magari)
Posts: 22
10K Pay Cash
Topic starter
 

@MJASIRIAMALI kama unajua utakosa basi usikuungi.nahitaji watu serious tu.


 
Posted : October 15, 2025 10:44 am

07b233bf 2b9e 412b ab7b 765dd5497818