@gidion-lazaro Uko Mkoa gani boss wangu nikupe bei pamoja na ghrama za usafiri.
Mswaki upo 1,700,00 nakupa mswaki ukafunge.
Nitakuuzia mswaki 1,8ml Engine uko vizuri sana.
2.8 Engine complete ipo.
@gidion-lazaro Sawa fanya 1.8 nikutumie Engine mswaki pamoja na usafiri.
Mswaki ni kitu gani?
Nahitaji Mswaki
@gidion-lazaro Engine zangu zimenyokaa mkuu nazichukua Japan kipengele hakuna ondoashaka,jambo jengine pesa za Spare za used @Admin anatulipa baada ya mnunuzi kufunga kwenye Gari na kuwasha. Engine used Japan hata kama sio fundi Engine ukiangalia kwa macho unaoa mzigo.