Elfu 80 tu unajipatia beg kali sana la mtu.Kama unalitaka utaratibu unaweka balance kwenye wallet yako kisha unanitaarifu kwamba unalipia hili begi.
Mimi na Ally ni kampuni moja, mzigo huu hapo.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Sawa hakuna shida naomba begi langu navitu vyote vilivyomo ndani.
@steven-mlawa Asante Sana,nitalipia mwenyewe.