Notifications
Clear all

Gharama za kutoa Container langu bandarani bei gani

1 Posts
1 Users
0 Reactions
95 Views
Joy Christoph
(@joy-christoph)
Posts: 5
1k Pay Cash
Topic starter
 

Nampango wakuru home mwezi wa kwanza,tunachanga watu watatu container moja  kusafirisha vifaa vyetu na nguo kutoka ugaibu kuja Tanzania swali langu je ushuru wakutoa hilo conatainer ni bei gani ili tujipange mapema.


 
Posted : October 7, 2025 1:43 pm