Notifications
Clear all

Kariakoo Online KAMA UKO KARIAKOO NAOMBA TUKUTANE KWENYE COMMENTS

12 Posts
4 Users
4 Reactions
267 Views
1
Topic starter

Habari 

 

Niko Mwanza nashida na rai waliko hapo kkoo kuna baadhi ya vitu nahitaji kwa bei ya jumla kama uko kariakoo namba tuwasiliane kuna vitu nahitaji kutoka hapo.

11 Answers
1

Nikusaidie nini kioo bosi wangu.

1
Topic starter

Naomba bei ya viatu vya eboebo size zote kwa bei ya jumla nataka mzigo mkubwa kuanzia za watoto hadi watu wazima.

1

Hapa biashara haifanyiki hivi mnavyotaka kufanya ndugu zangu mkiendelea  mtafungiwa account zenu.

 

Utaratibu  uko hivi mawasiliano yote yanafanyika hapa kwenye thread kama nipicha kila kitu kitumwe hapa makubaliano yote yafanyike hapa.

 

Malipo mnunuzu analipa pesa kwenye account ya Digxam chini ya admin si vunginevyo Kisha muuzaji atawasiliana na admin ili kukabidhiana pesa nna mzigo,ukiendalea kumshawishi mwenzako akutumie namba   kinyuma kanuni na  utaratibu utafungiwa accout  wote au utapigwa ban wote.

Share pages zetu ujipatie Zawadi kemkemke,kama Laptops,Simu Janja,Saa za smart nk,kujiunga Bonyeza Link

Dalali Mziefu Kariakoo March 1, 2024 3:20 pm

@moderator mbona utaratibu mgumu sana huu, bora tukafanyia bishara zetu kwenye Facebook na Twitter 😑 hapa pagumu sana kupata maokoto.

0

Naomba namba Yako yenye whatspp nikutumie bei na picha.

0
Topic starter

 

Namba yangu hii ××××××××××

 

PLACE YOUR ADS HERE!

Banners/Ads, Require any Further Information or a Quotation.  Click Here .

 

0
Topic starter

××××××××××

0

Hivi ndio nini dada unatuma kweli uko serious?

0
Topic starter

Kutakua na shida nimetuma malambili zinatokea hivyo.

0

Andika kwa maneno nitumie.

0

Pole sana,huu nfumo ni mzuri tuuzoee.

Share pages zetu ujipatie Zawadi kemkemke,kama Laptops,Simu Janja,Saa za smart nk,kujiunga Bonyeza Link

0

Unataka nini kakoo?

 

PLACE YOUR ADS HERE!

Banners/Ads, Require any Further Information or a Quotation.  Click Here .

 


Digxam

FREE
VIEW