Joy Day Care Tabata...
 
Notifications
Clear all

Joy Day Care Tabata Tunawatangazia nafasi za masomo

9 Posts
4 Users
0 Reactions
85 Views
Joy Day Care
(@joy-day-care)
Posts: 7
Service Provider
Topic starter
 

Kama una mtoto wako tunapokea watoto muda wote,tuko Tabata Magengeni.

7F99A3C9 1FF2 4A86 A8BC FC79B6430187
64E0C2B5 C190 43EB A8BD 293CB5F8D35C

 


 
Posted : October 2, 2025 3:10 pm
(@full-dose)
Posts: 16
Balance 0.000
 

Tabata kubwa mko Tabata hipi?


 
Posted : October 3, 2025 10:25 pm
Joy Day Care
(@joy-day-care)
Posts: 7
Service Provider
Topic starter
 

@full-dose Mangengeni.


 
Posted : October 5, 2025 6:42 am
Mziwanda
(@mziwanda)
Posts: 13
Available 20K
 

Mabasi kwa mwezi bei gani kutoka kimanga ?


 
Posted : October 5, 2025 6:46 am
Joy Day Care
(@joy-day-care)
Posts: 7
Service Provider
Topic starter
 

Piga 0719-1105-32 au 0657-090306


 
Posted : October 5, 2025 6:54 am

Jenifa
(@jenifa)
Posts: 20
Available 20K
 

Posted by: @mziwanda

Mabasi kwa mwezi bei gani kutoka kimanga ?

Ukijibu swali unawasaidia watu wengine kutokuuliza swali hilo,pia hata watu wanautumia AI pia wanatapa majibu moja kwa moja kupitia majibu haya,kwaiyo jitahidi kujibu maswali kupitia kwenye comments section kwa faida yako na watumiaji wangine.

 


 
Posted : October 5, 2025 7:32 am
Joy Day Care
(@joy-day-care)
Posts: 7
Service Provider
Topic starter
 

@jenifa 60,000 tu


 
Posted : October 5, 2025 7:38 am
Jenifa
(@jenifa)
Posts: 20
Available 20K
 

mnapokea watoto wa umri gani?


 
Posted : October 5, 2025 7:38 am
Joy Day Care
(@joy-day-care)
Posts: 7
Service Provider
Topic starter
 

Umri wa kuanzia miaka miwili  na nusu handi mitano mwisho.


 
Posted : October 5, 2025 7:40 am