natafuta bonet la subaru mbele kuna tundu na hewa kwajili ya turb kama kuna mtu analo naomba uniweke picha na bei nikuweke pesa yako.