Hiki ni Kifurushi Ambacho Kitakusaidia Kupata Huduma za Kutangaza Biashara Zako Au huduma zifutazo:Kama Uagizaji wa bidhaa ndani na nje ya Nchi, kushiriki minda ya online Bila kuliza deposit,Kuweka Tangazo lako la huduma nk.
Hiki kifurushi anatumia watu wengi.
Hiki Kifurushi Pia ni kizuri kwako..
Hiki Kifurushi kizuri kwa wafanya Biashara.
Hiki Kifurushi Pia ni kizuri kwako..
Hiki Kifurushi Pia ni kizuri kwako..
Hiki Kifurushi Pia ni kizuri kwako..
Hiki Kifurushi Pia ni kizuri kwako..
Hiki Kifurushi Pia ni kizuri kwako..
Hiki Kifurushi Pia kizuri kwa Waagizaji..
Hiki Kifurushi Pia ni kizuri Kama unaagiza Gari na Spare za Magari..
Get Started Hapa.
Leta Tangazo lako la Biashara Tukutangazie kwa Gharama na fuu sana.wasiliana nasi:advertise@digxam.site au Whatspp +8180 2071 7421 or click here.
Hapa mimi nomba majibu kwenye kipengele namba 8 chenye vifungu A to DFaida za kuwa Paid Member
Cost ni elf 50,000 kwa paid member.
Jinsi yaku upgrade.
kutoka kwenye kifurushi kimoja na kuhama kwenda kwenye kirushi kingine Nirahisi kufanya hivyo, utalipia kiasi kulingana na bei ya kifurushi,kiasi cha pesa chakwa kitajumlishwa kwenye gharama ya kufurushi kipya kulingana na bei.
kama unahitaji huma hii wasiliana na admin kwa maelezo zaidi au whatspp namba hii +818020717421 au piga +255 712 708245
Ilituweze kupata huduma bora tujiunge na huduma hizi,Nawakaribisha wote,kama unaswali uliza.
Bei yake ni milioni 1m kwa mwaka au nimekosea au sijaelewa?
Natoa ofa kwa watu 5 wa mwanzo ku coment kupa Membership bure bila kulipa pesa, itafanya kazi kwamuda wa mwaka moja, utapa haki asawa na memebers wengine waliolipia pesa.
Chafunya comment neno,naomba kuungwa na huduma ya
Paid membership au Trusted Membership bure.
Muda ni masaa 24 hadi kesho saa moja kamili jioni kwa saa za Africa masharaki.
Leta Tangazo lako la Biashara Tukutangazie kwa Gharama na fuu sana.wasiliana nasi:advertise@digxam.site au Whatspp +8180 2071 7421 or click here.
👍 👍 👍 👍 👍 👍 👍Natoa ofa kwa watu 5 wa mwanzo ku coment kupa Membership bure bila kulipa pesa, itafanya kazi kwamuda wa mwaka moja, utapa haki asawa na memebers wengine waliolipia pesa.
Chafunya comment neno,naomba kuungwa na huduma ya
Paid membership au Trusted Membership bure.
Muda ni masaa 24 hadi kesho saa moja kamili jioni kwa saa za Africa masharaki.
Nikuunge kufurushi kipi kata ya hivyo hapo juu?
Leta Tangazo lako la Biashara Tukutangazie kwa Gharama na fuu sana.wasiliana nasi:advertise@digxam.site au Whatspp +8180 2071 7421 or click here.
Kama utalipia kifurushi cha membership utapatafaida nyingi kulinga na aina ya kifurushi ulicholipia.
Leta Tangazo lako la Biashara Tukutangazie kwa Gharama na fuu sana.wasiliana nasi:advertise@digxam.site au Whatspp +8180 2071 7421 or click here.
Gharama bei gani na faida zake ni zipi?
Nice 👍
Namimi naomba uniunganishe nione inakuwaje?Cost ni elf 50,000-hadi 1ml kwa mwaka kulinga na mahitaji yako kupitia kwenye platform zetu.
Tayari.
Leta Tangazo lako la Biashara Tukutangazie kwa Gharama na fuu sana.wasiliana nasi:advertise@digxam.site au Whatspp +8180 2071 7421 or click here.
Asante 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌😱😱🇹🇿🇿🇦
Mnaweza kilipia baada ya kupata ofa kabla ya kuondolewa kwenye paid member ship.
Leta Tangazo lako la Biashara Tukutangazie kwa Gharama na fuu sana.wasiliana nasi:advertise@digxam.site au Whatspp +8180 2071 7421 or click here.
Tunalipaje naomba jina ya malipo usiniondoe
Namimi naomba uniunge nishawishika naweza kulipia hii membership haloooo.
Sawa nitakuunga free kwa siku mbili tu.
Leta Tangazo lako la Biashara Tukutangazie kwa Gharama na fuu sana.wasiliana nasi:advertise@digxam.site au Whatspp +8180 2071 7421 or click here.
Asante!
Njia ya kulipia membership yako ni Hii hapa,tumia lipa kwa Simu,unaweza kutumia lipa Kisha Tunza receipt yako inaweza hitajika.
Leta Tangazo lako la Biashara Tukutangazie kwa Gharama na fuu sana.wasiliana nasi:advertise@digxam.site au Whatspp +8180 2071 7421 or click here.
Naomba na mimi niunganishwe.
Naomba na mimi niungwe bhanaa nikizichanga nitatoa
Namimi ikikupendeza niunge.
Hata mimi pia.
Nimelipa angalia malipo kutoka kwenye jina la Kampuny yangu.
Tayari nimekuunganisha.
Leta Tangazo lako la Biashara Tukutangazie kwa Gharama na fuu sana.wasiliana nasi:advertise@digxam.site au Whatspp +8180 2071 7421 or click here.
Ok sawa.
Noted
Sawa niunge
Habari natafuta pamp la mbele la Toyota furtuner na taa zake naomba uniunge nimeshindwa kuhudumiwa naomba uniunge kifurushi cha 24hrs nipate huduma.
Naomba niunganishwe na Trusted package naomba lipa namba.
Habari
ref 2334555
Huu nfumo unaweza kuwa mzuri sana japokua ni mpya.
3.Paid Membership 50,000 Package.
(✔️)Nikifurushi cha mwaka ghrama yake ni elfu 00,000 tu,kitakuwezasha kupa huduma zifutazo.
(✔️))Uweza kuona namba za simu kwenye posts mbalimbali.
(✔️))Utaweza kuingia na kuona kuona minada kwenye platform ya Buy and Sell. General Product from Japan.
(✔️))Utaweza kuingia na fungua Threads kwenye jukwaa la South Africa Import Export Online Trade.
(✔️))Utaweza kuingia na fungua Threads kwenye jukwaa la Tanzania Import Export Online Trade.
(✔️))taweza kuingia na kufungua Threads kwenye jukwaa la la minada Daily Auctions Tanzania.
(✔️))taweza kuingia kufungua Threads kuposts na ku Bid minada kwenye jukwaa la la minada Daily Auctions Tanzania .
(✔️))Utweza kushiriki kwenye jukwaa la mida kuanzia yenye thamani kuanzia 1,000 hadi 3ml.
(✔️)taweza kuingia na kufungua Threads kwenye jukwaa la la minada Daily Auctions South Africa.
(✔️)taweza kuingia kufungua Threads kuposts na ku Bid minada kwenye jukwaa la la minada Daily Auctions South Africa.
(✔️)Utweza kushiriki kwenye jukwaa la mida kuanzia yenye thamani kuanzia 1,000 hadi 10 ml.
(✔️) Threads and Posts Automatically Approving
(✖️))taweza kuingia kufungua Threads kuposts na kuweka minada kwenye jukwaa la la minada Daily Auctions Japan.
(✖️)taweza kuingia kufungua Threads kuposts na ku Bid minada kwenye jukwaa la la minada Daily Auctions Japan.
(✖️)Utweza kushiriki kwenye jukwaa la mida kuanzia yenye thamani kuanzia 1,000 hadi 50ml.
(✖️) kusoma Threads za private.
Jinsi yaku upgrade.
kutoka kwenye kifurushi kimoja na kuhama kwenda kwenye kirushi kingine Nirahisi kufanya hivyo, utalipia kiasi kulingana na bei ya kifurushi,kiasi cha pesa chakwa kitajumlishwa kwenye gharama ya kufurushi kipya kulingana na bei.
Jinsi ya kulipia
Tigo Lipa namba 6866794 Digxam Trades
Bank CRDB AC 015C598771300
kama unahitaji huma hii wasiliana na admin kwa maelezo zaidi au whatspp namba hii +818020717421 au piga +255 712 708245
Ilituweze kupata huduma bora tujiunge na huduma hizi,Nawakaribisha wote,kama unaswali uliza.
Leta Tangazo lako la Biashara Tukutangazie kwa Gharama na fuu sana.wasiliana nasi:advertise@digxam.site au Whatspp +8180 2071 7421 or click here.
@admin Tunapokea maswali kupitia hapa kwenye comments section,uliza swali.
Habari mimi Aza naomba kuungwa na huduma ya
Paid membership au Trusted Membership bure.
Naomba kuungwa na huduma ya Paid membership au Trusted Membership bure.
Naomba kuungwa na huduma ya Paid membership au Trusted Membership bure.
Naomba kuungwa na huduma ya Paid membership au Trusted Membership bure.
naomba kuungwa na huduma ya Paid membership au Trusted Membership bure.
naomba kuungwa na huduma ya Paid membership au Trusted Membership bure.
Habari naomba kuungwa na huduma ya Paid membership au Trusted Membership bure.
Naomba niunganishwe.
Higera sana! Acha twende na wakati.
Habari mimi Majid naomba kuungwa na huduma ya Paid membership au Trusted Membership bure.
Habari mimi naomba kuungwa na huduma ya Paid membership au Trusted Membership bure.
Naomba kuunganishwa.
naomba kuungwa na huduma ya Paid membership au Trusted Membership bure.
🖐️ 🖐️ 🖐️ 🖐️ 🖐️ 🖐️ 🖐️ 🖐️ 🖐️ chante chamani
Ahsante kwa kushiriki tukijaliwa siku nyingine.
Leta Tangazo lako la Biashara Tukutangazie kwa Gharama na fuu sana.wasiliana nasi:advertise@digxam.site au Whatspp +8180 2071 7421 or click here.
Safii sana 😢
Ok
Asante kwa taarifa.
Kimeongeza access unawza kupa huduma zaidi ya mwanzo.
Leta Tangazo lako la Biashara Tukutangazie kwa Gharama na fuu sana.wasiliana nasi:advertise@digxam.site au Whatspp +8180 2071 7421 or click here.
Nataka kuhamia kwenye kifurushi kibwa zaidi ya hiki nifanyeje?
Nataka kushiri minada yote.
@malingumu OK sawa lipia 50,000 Kisha nitakuunganisha na kifurushi kipya chenye uwezo zaidi.
Tag ni kufanya je?
Na tag vipi naomba unifundishe.
Fanya hivi @admin hapo umenitagi nitaona.
Leta Tangazo lako la Biashara Tukutangazie kwa Gharama na fuu sana.wasiliana nasi:advertise@digxam.site au Whatspp +8180 2071 7421 or click here.
Ok sawa!
👍
Nataka ku up grade kwenye kifurushi cha Kutoa huduma naongeza ngapi?
@justin-omundi bei ya kufuru ni 300,000 toa 50,000 utalipa 250,000.
@admin Hiki kifurushi mbona kwenye list ya vifurushi hakuna?
nimekitafuta sana sijaona naomba unitimie link nikipitie nione kimebeba nini nani?
Asante sana kwa kushiriki kuliza maswali na kujiunga na vifurushi.
Leta Tangazo lako la Biashara Tukutangazie kwa Gharama na fuu sana.wasiliana nasi:advertise@digxam.site au Whatspp +8180 2071 7421 or click here.
Habari
Sijaelewa vuzuri kuhusu hiki kifurushi nfano nahitaji bidhaa kutoka kwenu nikiwa hichi kifurushi nitaingia kwenye minada nitanunua kisha mtanisafirishia na kunikabidhi hata kama mzigo wa milioni 500?
@karanga Hapana kazi ya hiki kifurushi ni kwenye minada tu kwenye platform zingine kama kuagia sio lazima uwe na kifurushi chochote.
Hiki kifurushi kinakuzesha kununua bidhaa ya dhamani yoyote kwenye minada tu,nfano kuna wauzaji kwenye minada wanaweka bidhaa za bei kubwa kwa muda wa saa moja mnada unatakiwa uishe kama unakufurushi hiki unaweza kununua vitu vyenye dhamani kubwa kisha unalipia baada ya mnada kuisha.
Hapa boss mbona pamekua pagumu kila siku vifurushi vipya sisi tusiokuwa na uwezo wa kunua vifurushi tuondoke?
@kabandwa Kwani huduma gani umeikosa hapa? Kuhudu vifurushi kuanzia kifurushi cha kwanza hadi cha mwisho kwajili ya minada tu.
hata kama ungekuwa wewe utaweza kuendesha minada bila washiriki kuwa na vifurushi kwajili kumlinda muuzaji na uwajibikaji kwa pande zote mbili.
Tumia majukwa ya bure kupata huduma,agiza mzigo wako bila kutumia minada naomba tusipotoshe mambo hapa asilimia 80 ni bure boss wangu jaribu ilizia kitu chochote sehemu yoyote ukishindwa kuingia niambie Niko hapa.
@admin Sawa lakini kuna kaubaguzi fulani nfano hapa kwenye profile kuna zero balance kwanini umefanya hivyo kwani usiche wazi bila kuandika chochote?
Kuna siku niliagiza MP3 hadi leo sijajibiwa wakati watu wengine wenye Depost wanajibiwa chap kwa haraka hii nayo vipi imekaaje bro.
Sawa mkuu.
Napenda sana kufatilia minada chakushanga nimeondolewa kwenye minada siwezi kushiriki nabaki mtazamaji mbona mzingua?
Akikujibu ni tag,watumeodolewa wote wamebaki wakulipia tena bila taarifa.Napenda sana kufatilia minada chakushanga nimeondolewa kwenye minada siwezi kushiriki nabaki mtazamaji mbona mzingua?
Ushauri wangu kwa admin ikikupendeza tutengenezee kajukwa katu kadogo kamunada kavitu vyenye gharama na fuu kidogo tuzungushe mitaji yetu mdogo ndogo mitaji yetu ikukua basi nasisi tunafanya kweli ushauri ni huu sio kwaubaya wote wapambanaji.
interested.
Niwazo zuri tajiri huna baya,
Upande wangu siwezi kulaumu admin kwasabu kaweka tozo kwenye majukwa machachesana kwenye minada kwingine free,upandewangu siwezi kumlaumu mida kua free pia inakosa maana watu wanafanya fujo sana kwasabu hatuna cha kupoteza nadhani tutumie majukwaa mengine kupata huduma.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 admin piga watu ban wasikuzoee i see angalia koments za kusagiana kungunu tupu,ukicheka na nyani utavuna mabua.
Achane ujinga tutaonekana wote wahuni tutawekwe kapuni kwaushundwa kutumia uhuru viziri hapa kunapindi tuliwekwa kapuni kila kituma ujumbe ukaa week unasikilia
Hapa ni uhuru kwa kila mtu anahiki ya kuingea sema tatizo hapa sio sehemu yake hii thread inaongelea jambo moja kifurushi kipyaAchane ujinga tutaonekana wote wahuni tutawekwe kapuni kwaushundwa kutumia uhuru viziri hapa kunapindi tuliwekwa kapuni kila kituma ujumbe ukaa week unasikilia
😍 😍 😍 😍 😍 😍 😍 ila nyie jamaa akiamka atakuta wateja wakutosha wa kifurushi kimpya.
Ngoja nikabet zangu alooo kipiga mshinda nitarudi.
Tunaonekana wote waswazi i see
Sasa admin nimemuelewa hizi ni fujo ndio maana tumefungiwa kushiriki midadana jiandaeni kufungiwa kila kona.
Habari
Nimelipia naomba kuunganishwa.
Tayari nimelipia
Jambo papa nije!
Swahili bora sijuage najua swahili ya mwetu mukongo na France kama uko na mutu anajua kusumbulia France itakuwa bueee.
Jinsi ya kulipia huduma mbalimba tunazozitoa.
Kwanjia ya Simu.
Kwanjia ya Bank .
kama unahitaji hudma hii wasiliana na admin,kwa maelezo zaidi au whatspp namba hii +818020717421 au piga +255 712 708245.
Kuchagua Vifurushi bonyeza hapa
Share pages zetu ujipatie Zawadi kemkemke,kama Laptops,Simu Janja,Saa za smart nk,kujiunga Bonyeza Link
Safi sana ngoja nizichange.
Mbona vifurishi bei mbaya hivi?
Leo nimevipitia huu utakuwa mtanda wakwanza kwa vifurushi bei juu sana.
Hiko njema sana.
Nataka kuilipi kifurishi mkuu.
Hiki kifurushi cha unlimited bei gani?
@ubuntuscofield Asante kwa kujiunga na kifurushi cha Paid Membership cha mwaka mzima bila kikomo,naomba ujaze form na kujisajili kwenye kumbukumbu za Paid Membership ,kujaza form Fatilia hapo.
ok
Naomba niunge kifurushi cha unlimited tayari nimelipia.
7.Baada ya Kulipia Membeship yako.
.Jisajili kwenye database ya Members wote waliolipia kwajili ya kumbuku jinsi ya kujisajili bonyeza hapa.
1.Jaza Form vizuri,
2. Utapata ujumbe huu Thank you. Your registration is now complete. You can log into the affiliate area and begin promoting.
3.Kisha bonyeza Hapa,
4.Itakuja menu kama ifuatavyo (a)Overview (b)Sales Payment (c)History Creative(d)Edit Profile(e) Log out.
7. Usajili utakuwa umekamilika.
Leta Tangazo lako la Biashara Tukutangazie kwa Gharama na fuu sana.wasiliana nasi:advertise@digxam.site au Whatspp +8180 2071 7421 or click here.
@admin @moderator tayari
@ubuntuscofield Asante kwakujiunga na kifurushi cha Paid Membership leo Tarehe 10 Wensaday April kitadumu kwa muda wa mwaka moija bilakikomo.
Naomba kuungwa na huduma ya Paid membership au Trusted Membership bure.
Kuanzia leo kila mtu atakapojisajili baada ya kukamilisha usajili wake atangojea kidogo ili admins wameze kupitia usajili wako kabla ya kuanza kutumia platform zetu.
Baada ya kukamilisha usajili wako utapokea ujumbe wa "Awaiting approval" ndani ya masaa 24 utakuwa tayari kutumia Platform hii,tunaomba tuwe wavumili na pole kwa usumbufu utakaojitokeza.
Unaweza kuliza swali kuhusu usajili wako kupitia kwenye hii topic bila kukamilisha usajili wako, ujumbe utatufikia ,tutaupokea ujumbe wako na kukujibu. Asante sana Karibu sana.
Leta Tangazo lako la Biashara Tukutangazie kwa Gharama na fuu sana.wasiliana nasi:advertise@digxam.site au Whatspp +8180 2071 7421 or click here.
Umeunganishwa na kifurushi cha Paid Membership kita expire Tarehe 1/3/2025 asante endelea kutumia huduma zetu karibu sana.Naomba nilipie hiki kifurushi cha mjasiliamali cha 50k
Leta Tangazo lako la Biashara Tukutangazie kwa Gharama na fuu sana.wasiliana nasi:advertise@digxam.site au Whatspp +8180 2071 7421 or click here.
Ngoja nipitie tena.
Point correction.
Sawa
Nimenunua Laptop 💻 vipi itafika lini?
@senforoza sawa nenda comment chini ya hiyo thread Kisha tag admin nitakuja hapo.
Nomba
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Hii ni Habari njema kwa wateja wetu wote popote mlipo,Tumewaletea kifushi kibwa kupita vyote kitakuwezesha kufanya mambo yafuatayo.
1.kitakuwezesha kuuza bidhaa kwenye minda kwa bei ya Jumla na rejareja ndani na nje ya Nchi bila kikomo.
2.Nikizuri kwa wafanya biashara wanafanya biashara za,
A.Bishara zote za Magari Makubwa na Madogo.
B.Wafanya biashara wanahitaji kununua bidhaa za jumla zenye dhamini kubwa kama Spare za Magari na bidhaa nyingi za dhamani kubwa.
C.Wakandalasi wa majengo Barabara nk watanufaika na kifurushi hiki.
D.wamiliki wa Shule pia watenufaika na kigurudhi hili,watanunua na kuagiza Magari kwanjia ya mnada kwajiki ya matumizi ya Shule.
Leta Tangazo lako la Biashara Tukutangazie kwa Gharama na fuu sana.wasiliana nasi:advertise@digxam.site au Whatspp +8180 2071 7421 or click here.
Hawa jamaa ni wanjanja sana wakiona sehemu inavuja wanamimina zege 🤩 🤩 🤩 🤩 🤩 🤩 kunawatu walifikiri huu ni mtandao wa kijamii.
Habari za asubuhi hivi nikinunua hiki kifurushi kwa uzoefu wako nutapata bei gani kwamwezi.
Dixam
Digxam
@rahaa Umepa ofa ya kifurushi cha Basic Membership bure baada ya kufata maekezo ulipewa kwenye page yetu ya Facebook,kifurushi kiko sawa na vifurushi vyote vyenye thamani ya 50,000.Karibu endelea kushare na kutembela page zetu kwenye mitando ya kijamii ujipatie ofa na zawadi mbalimbali.
Umepa ofa ya kifurushi cha Basic Membership bure baada ya kufata maekezo ulipewa kwenye page yetu ya Facebook,kifurushi kiko sawa na vifurushi vyote vyenye thamani ya 50,000.Karibu endelea kushare na kutembela page zetu kwenye mitando ya kijamii ujipatie ofa na zawadi mbalimbali.Digxam
Naomba niunge kufurushi cha 200k please .
Asante kwakujiinga na kifurushi cha Trusted cha mwaka, Tayari umeisha unganishawa.Naomba niunge kufurushi cha 200k please .
@veronica-victor Balance tayari naona lakini siwezi kuingia kwenye chumba cha minanada na kushiriki
Tangu jana nimemtumia admin kwenye namba ya whatspp ya Japan lakini bado sijaona nikunganisha na kifurushi changu shidana nini?
Nimefurahi sana kuona Watanzania kisonga mbele kidigital.
Mungu alipenda