Notifications
Clear all

OUR COMPANY EVENTS QOUTATIONS – 2025

1 Posts
1 Users
0 Reactions
21 Views
CELINE DECORATIONS-CATERING
(@celine-decorations-catering)
Posts: 3
Balance 0.000
Topic starter
 
image
image
image

OUR COMPANY  EVENTS QOUTATIONS – 2016/17

BEI ZETU ZA HUDUMA ZA KUPAMBA KUMBI TOFAUTI KATIKA MIJI YA DAR, MOROGORO,MWANZA,KAHAMA(SHINYANGA) NA ARUSHA.

Simu no. 0786 399 348  or Whatssap : +255 673 349 348/0655 349 348

Email:celinedecorations@gmail.com

Vist our brog https://celinedecoca.blogspot.com

KUPAMBA MAPAMBO YA HARUSI – KWENYE KUMBI ZA KAWAIDA JIJINI  DAR ES SALAAM




Bei zetu – kuanzia watu 150 – 250, bei itakuwa:  Tshs.1,350,000/=




               kuanzia watu  251 - 300, bei itakuwa : Tshs.1,500,000/=




 Bei hii inajumuisha huduma zifuatazo:                                        




    * Kupamba ukumbi kisasa zaidi,viti,meza na  kufunga mnara wa taa za kisasa




    * Kuandaa vitendea kazi vyote  na  maua ya asili  ( natural rose flowers)




    * Viti vya Maharusi na wapambe wao (Maharusi, Best man, Matroni na ma -maids)




    * Tunapamba meza za maharusi na wazazi wa pande zote mbili (high table)




    * Tunapamba magari ya Maharusi,Maids na magari ya  wazazi wa pande zote mbili




    * Viti vitafungwa sashes,(material ya Oganza  za rangi ya sherehe,Meza na tunaweka verse -mezani)




    * Maua ya wanakamati – kila mwanakamati atapata ua  lake katika sherehe husika




    * Tunaweka zuria jekundu katika meza kuu na kwenye njia kuu iendayo meza kuu ( high table.


 
Posted : September 30, 2025 6:37 am